Regent Estate, Mikocheni
Jacques
Saladi kubwa kuliko unavyotarajia, samaki wa kuchoma na juisi freshi. Chakula kizuri, mwili mwepesi.
Mlango uko wazi
Karibu
Jacques.
Kila siku kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 3 usiku. Huna haja ya kubook, njoo tu.
Kwenye uwanja
Taa elfu
juu ya kichwa.
Meza za mbao, anga la taa ndogo, na harufu ya pilau ikitoka jikoni.
Sogeza kipanya kuangalia pembeni. Bonyeza sahani kuiona.Telezesha kidole pembeni kuangalia. Gusa sahani.
Kwa kundi lako
Tengeneza
sinia lako.
Chagua wali, kitoweo na ziada. Bei inajihesabu yenyewe, kisha tuma oda kwa WhatsApp.
Sherehe, kikao, birthday
Hifadhi meza.
Tuambie siku, saa na idadi ya watu. Tutakuthibitishia kwa WhatsApp ndani ya dakika chache.
Ukumbi
Si mgahawa tu.
- kwenye Google
- 4.4
- wanatufuata Instagram
- 59K
- tuko wazi
- 7/7
Kutoka Google
Wateja
wanasema.
“Overall, I'd give this place a strong five stars. When it arrived, it was clear why it took a little longer, the portion size was incredibly generous.”
“It's one of the coolest places where you can chill with your partner, friends, colleagues or family. This place has the coolest environment in Dar es Salaam.”
Kutoka kwa wageni wetu, kupitia kadi za mezani
Umefurahia chakula?
Tuachie
nyota tano.
Scan kwa simu yako ukiwa mezani. Inachukua sekunde 20 na inawasaidia wengine kutupata.
Andika maoni GoogleTembelea
Tupo
Mikocheni.
- Mahali
- Chato Street, Regent Estate, Mikocheni, Dar es Salaam
- Saa za kazi
- Kila siku kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 6 usiku.
- Simu
- 0719 812 481
- Delivery
- 0719 812 481
Bolt au Uber: andika JACQUES SALAD AND RESTAURANT